14 December 2013

AJALI YATOKEA DARAJA LA MLALAKUWA, MIKOCHENI JIJINI DAR

Ajali imetokea majira ya asubuhi ya leo katika daraja la Mlalakuwa, Mikocheni jijini Dar ambapo gari hiyo Inayoonekana kuharibika vibaya ilitumbukia katika mto huo na kusababisha kifo cha Mtu mmqoja ambaye anaonekana akielea juu ya maji.Picha Kwa Hisani ya Kajunason Blog

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname