14 December 2013

MWANAMUZIKI MAARUFU HAPA NCHINI ''LADY JAYDEE'' AUGUA GHAFLA.ALAZWA HOSPITALI YA PRIMIER

Mwanamuziki mwenye jina kubwa katika Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ hivi karibuni aliugua ghafla akiwa nyumbani kwake Kimara-Temboni, Dar na kukimbizwa katika Hospitali ya Primier Care iliyopo karibu na nyumbani kwake.
Akizungumza na paparazi wetu, ‘hazibandi’ wa staa huyo ambaye pia ni meneja wake, Gadna Habash ‘Kapteini’ alisema kuwa ‘waifu’ wake huyo
alipata maambukizi katika koo lake hivyo akatumia dawa ambazo hazikustahili


Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ akichezea simuHospitali ya Primier Care.INAENDELEA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname