Jina la muigizaji wa Kenya, Lupita Nyong;o limeendelea kushika kasi Hollywood.
Tangu aigize kwenye filamu ‘12 Years A Slave’, jina la ‘black beauty’ huyo mwenye miaka 30 limeendelea kung’ara.
Pamoja na kwamba Oprah Winfrey anaweza kuwa mpinzani wake kwenye tuzo
za Oscar kwenye kipengele cha ‘Best Supporting Actress, amesema
anamkubali msichana huyo.
“Nilikuwa naye kwenye roundtable ya Hollywood Reporter. Nilikuwa
nimekaa kufanyiwa make-up na mtengeza nywele aliniangalia kwenye kioo na
kunong’oneza ‘Oprah.’ Nilisema ‘What?!’” ilikuwa kama slow motion.
Niliinuka. Niligeuka na alikuwepo pale. Mikono yake ilikuwa imefunguka na alinipa kumbato kubwa, akisema ‘You were amazing!’”
No comments:
Post a Comment