HUYO hapo katika picha iliyoshikiliwa ndio marehem Bi Estha (37) mke wa msanii Dr John enzi za uhai wake..
Ameacha watoto wanne wa kike kati yao mmoja ana umri wa miezi sita, Bi
Estha alifariki baada ya kuanguka ghafla na kukimbizwa hospitali ya kwa
mberesero iliyoko Jijini Tanga kwa ajili ya matibabu hapo ndipo umauti
ulipomkuta juzi 17/11/2013 R.I.P shemeji.
HAWA
ni miongoni mwa wasanii wa kundi la wachekeshaji VITUKO SHOW lilikita
kambi huko mkoani Tanga, Kushoto ni Asha Boko na kulia ni Mwene No Disc.
Camera man wa VITUKO SHOW yosso Komando akichomeka mishumaa katika nyumba ya milele ya marehem Bi estha mke wa Dr John.
HAPA ndipo alipolala maremu Shemeji yetu M/mungu ailaze mahala pema peponi.
MSANII nguli katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya Dr John mwenye T.shirt Nyeusi akiliwazwa na D. dr mwenye T.shirt nyekundu msanii wa Tanga.
MSANII nguli katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya Dr John mwenye T.shirt Nyeusi akiliwazwa na D. dr mwenye T.shirt nyekundu msanii wa Tanga.
DR JOHN akiwa na wasanii na baadhi ya marafiki wakimliwaza baada ya mazishi.
PICHA HIZI NI KWA HISANI YA MASAINYOTAMBOFU.COM
No comments:
Post a Comment