21 October 2013

NYUMBA ZA MCHEZAJI MRISHO NGASA ZANUSURIKA KUCHOMWA MOTO

Mchezaji wa Yanga Mrisho Ngasa alikuwa amesema kuwa asipofunga goli ama kutoa pasi itakayo zaa goli zidi ya simba mechi ya leo basi angechoma moto nyumba zake tano .....Lakini simesalimika baada ya  kuwa mfungaji wa goli kati ya magoli matatu waliyo pata yanga .......Mechi hiyo simba na yanga walitoka droo ya 3-3

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname