21 October 2013

JE, NI KWELI KUWA HAWA NDO MASTAA WAKIKE WENYE MVUTO ZAIDI BONGO??

Habari hizi zimetufikia eti habari ya mjini ni kwamba, hawa ndo wanadada mastaa wenye mvuto zaidi hapa Bongo, Binafsi nahisi kuna wengine wengi ambao walistaili sifa kama vile Jaquiline Wolper, Jokate mwegelo, Irine Uwoya na wengine wengi, ila hayo ni maoni yangu tu Je wewe unaonaje hii list inafaa?





Inasemekana kwamba Wema Sepetu ndio anaongoza kwenye List hii, kwa kweli she is beautiful.


 Lulu Michael ndiye anachukuwa nafasi ya pili



Jaqi Cliff 'Lady Boss wa Bongo' anachukuwa nafasi ya tatu


4 Loveness Love

1 comment:

  1. watanzania tusiangalie u beuty wa makeup tuangalie natural beauty ya mtu hapo ndo utatupa list ya watu warembo mbona wapo wengi tu like miriam Odemba, na wengine wengi tu maana na mashaka hao wakitoa hizo makeups itakuwa balaa na siyo majanga,,, Au mwaonaje wadau

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname