Amebananishwa
Msanii anayefanya poa kwa ngoma yake ya Salamu zao na muziki gani "Nay
wa Mitego" kumzungumzia Chid Beenz ambapo Nay aliamua kufunguka kwamba
yeye ni Mmoja kati ya waliokuwa Mashabiki wakubwa sana wa Muziki wa Chid
Beenz ila alimpoteza tu pale alipoanza
kufanya mambo za ajabu ajabu ambazo kama ni Mtata utakuwa umegundua kuwa Kutoboa pua ni maja kati ya maajab ya Chid kwa Nay.
kufanya mambo za ajabu ajabu ambazo kama ni Mtata utakuwa umegundua kuwa Kutoboa pua ni maja kati ya maajab ya Chid kwa Nay.
Nay
anaamini kuwa mambo ya ajabu anayoyafanya Chid anashawishiwa na kutumwa
na Madawa pamoja na Pombe zake na ndiyo maana pia anagombana na watu
ovyo ovyo.
Kwa
upande wa Vitu anavyovipenda hadi leo kwa Chid Beenz ni Flow yake na
anavyoitune Sauti yake hapo ndipo Ney anaposema kuwa hata sauti yake
inatokana kic kidogo na Sauti ya Chid kwani alikuwa anatamani kuwa kama
Chid Kitambo hicho.
Ushauri
wake ndo ukafikia hapo kuwa Chid aache Madawakama alivyoahidi kuwa
anaacha na kusema kuwa kama angekuwa ameacha tungeona amebadilika.
MSIKILIZE NAY HAPA AKIFUNGUKA KWENYE DROP BOX
No comments:
Post a Comment