25 August 2013

HILI NDILO JENGO LA AZAM TV LITAKAVYO KUWA

clip_image001 
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa Makao Makuu ya Kituo kipya cha Televisheni cha Aam TV, eneo la Tazara, Dar es Salaam. Kituo hicho kimeingia mkataba wa kurusha
matangazo ya mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Yataanza kurushwa Septemba mwaka huu. PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname