18 October 2013

MASTAA WA FILAMU WALIVYOSHEREHEKEA SIKUKUU YA EID ELL HAJJ NYUMBANI KWA IRENE UWOYA(PHOTOS)

Juzi katika sikukuu ya Edd El Hajj Irene Uwoya ambaye ni star wa filamu Swahiliwood na mtangazaji wa show ya Paradise aliwaalika mastaa wenzake nyumbani kwake ili kusherehekea sikukuu hiyo kama picha zinavyoonekana hapo chini............

JB na Irene Uwoya
Johari na Adam Kuambiana
Kupa na mkewe
JB na Johari
Uwoya ,Mtitu na JB
JB, Chopa Mchopanga na Kupa 
Adam, Linex na JB



                                                 images by JFC

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname