12 October 2013

BREAKING NEWZ: WAHAMIAJI HARAMU 14 WAKAMATWA MOROGORO

Gari lilokuwa limebeba wahamiaji haramu hao likiwa katika kituo cha polisi mkaoni morogoro
 Wahamiaji haramu kutoka somalia wamekamatwa Mkoani Morogoro leo .Wahamiaji hao waliokuwa wakisafirishwa katika gari la mizigo lilokuwa limebeba shehena ya chokaaa..

 Mmoja ya wahamiaji haramu akishushwa katika gari hilo akiwa katika hali mbaya.BOFYA KUISOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname