04 July 2015

HALI YA MWIMBAJI BANZA STONE SIO NZURI, APELEKWA HOSPITALI

unnamed II
Hali ya kiafya ya Staa na mkongwe wa muziki wa dance Tanzania, Ramadhan Masanjaaka Banza Stone sio nzuri, anaumwa kwa muda mrefu na wapo ambapo waliofikia hatua hata ya kumzushia mitandaoni kwamba amefariki.

Team ya millardayo.com ilifika nyumbani anapoishi, Sinza Dar es Salaam na kumkuta pamoja na ndugu zake, alikuwa anaumwa lakini aliongea pia kinachomsumbua.
unnamed III
Nimeambiwa kwamba kwa sasa hali yake sio nzuri, imebidi ndugu wampeleke Hospitali Mwananyamala ili akapate matibabu zaidi.. nina picha pia akiwa Hospitali, na wapo waliojitokeza kwenda kumjulia hali.

unnamed

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname