Ania Lisewska kutoka mjini Warsaw ameingia katika mpango huo usio
wa kawaida kwenye mji aliozaliwa mwezi uliopita na mpaka sasa
amefanikiwa kuongeza idadi hiyo kufikia 284, kwa mujibu wa gazeti la
Huffington Post.
Lakini wakati rafiki yake wa kiume wa muda mrefu mwenye umri wa
miaka 21
akimsamehe zaidi kuliko wote - hajamtosa pamoja na yote hayo - anaeleweka kwamba 'hajasisimuliwa' na wazo hilo.
akimsamehe zaidi kuliko wote - hajamtosa pamoja na yote hayo - anaeleweka kwamba 'hajasisimuliwa' na wazo hilo.
Ania alisema kwamba rafiki yake huyo amelazimika 'kukubaliana na wazo hilo'.
Alilieleza gazeti la Austrian Times: "Nataka wanaume kutoka
Poland, Europe na duniani kote. Ninapenda ngono, kufurahi na wanaume.
"Nchini Poland somo la ngono bado ni haramu na yeyote anayetaka
kukidhi matakwa yao ya ngono huchukuliwa kama aliyepotoka, au mgonjwa wa
akili."
Ania anasema kwamba atalenga tu kumaliza jukumu lake wakati wa
siku za mwishoni mwa wiki na ameanzisha ukurasa wa Facebook na tovuti
kusawiri mawazo ya wachimbaji kurasa wake ambao ni kidogo kuliko rafiki
yake wa kiume anayevutiwa anaweza asipende kuwasevu kama watu wake
muhimu.
Anaongeza kwamba anatarajia kutumia takribani dakika 20 na kila mpenzi mmoja.
Lakini taarifa za tamaa yake ya sasa ya kutaka makuu imeibua
mashaka katika uhalalishwaji wake, huku ripoti kadhaa zikisema kwamba
inaweza kuwa mzaha.
Kwa mujibu wa ripoti, kufanya ngono na watu wengi kiasi hicho kwa
dakika 20 kwa wakati mmoja kunaweza kumchukua Ania miaka mitatu na miezi
nane kumaliza kama hakutakuwa na mapumziko kwa ajili ya chakula au
kulala.
Akionekana kanakwamba anapanga kuchukua nafasi ya siku za Jumamosi na Jumapili, jukumu hilo litamchukua miaka 20 mfululizo.
Ikichukuliwa anaishi hadi umri wa miaka 81, kufikisha 100,000 Ania
atakuwa na hadi kiasi takribani wanaume 16 katika siku zote za mwishoni
mwa wiki.

No comments:
Post a Comment