Hili ndilo kabuli alilokuwa amezikwa kijana huyo wa kima'ngati
Taarifa kutoka kwa chanzo chetu inasemekana kuwa kijana huyo wa
kima'ngati alivamiwa kijiji cha Igundu na watu wasiofaamika amabao
walimpiga sana wakimuhisi kuwa ana pesa baada ya kumpiga vijana hao
walitoweka na kumuacha akiwa hoi wasamalia wema walivyi muona kijana
huyo walimkimbiza katika hospitali ya wilaya Chunya
Baada ya kijana huyo kukutwa na umauti halimashauli ilichukua jukumu
lakwenda kumzika ila baada ya ndugu wa kijana huyo kupata taarifa
walienda polisi kuomba kibali cha kuchukua mwili wa marehemu huyo tukio
ili lilitokea 27.08.2013
Huu ndiyo udongo uliyofukuliwa katika kabuli
No comments:
Post a Comment