Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ amejikuta akivuja jasho
la furaha baada ya kupima Ukimwi na kujikuta yupo salama.
|
Baada ya vipimo hivyo, Recho alipewa majibu yaliyoonesha kuwa yupo
salama kitu ambacho kilimsababisha acheke na kuwataka wenye wivu
wajinyonge.
|
“Namshukuru Mungu kwa sababu nimejikuta mzima baada ya kupima
UKIMWI, Mwenye wivu na maisha yangu ajinyonge tu,” alisema Recho.
|
No comments:
Post a Comment