13 December 2015

WAFANYA BIASHARA 15 WAMCHOKOZA RAIS MAGUFULI,WAKAIDI AGIZO LAKE,WAJIWEKA PABAYA

Rais Magufuli alipozungumza na wafanyabiasharaWafanyabiashara 15 wanakabiliwa na uwezekano wa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kutolipa kodi, baada ya kushindwa kutumia ahueni ya siku saba iliyotolewa na Rais John Magufuli ya kulipa ili kuepuka hatua za kisheria.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname