CEO wa Endless Fame Films, Wema Sepetu anatarajia kufanya uzinduzi wa
single za wasanii wake Mirror na Asali utakaofanyika Jumapili hii ndani
ya Club Bilicanas jijini Dar es Salaam.
Uzinduzi wa nyimbo mbili mpya Mzuri ya Asali pamoja na Baby ya
Mirror, utasindikizwa na wasanii wengine wakiwemo Barnaba,Country
Boy,Nyandu Tozi,Linex,M2 the P ambapo Wema Sepetu atakuwa mshereheshaji.
Kiingilio kwenye uzinduzi huo ni shilingi 6,000.
SOURCE: BONGO 5



SOURCE: BONGO 5
No comments:
Post a Comment