22 August 2013

BABA YAKE BOB JUNIOR AFANYA SHOO YA NGUVU NCHINI FINLAND

 
Bob Junior ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva lakini kipaji hicho ni kama amerithi kutoka kwa baba yake mzazi Mr. B Rummy Nanji ambaye pia ni mwanamuziki maarufu akifanya kazi zake ulaya.

Weekend iliyopita mdingi wa Bob Junior ali-perform nchini Finland kama anavyoonekana pichani hapo chini akifanya makamuzi ya kufa mtu.

 
Source-teentz

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname