22 August 2013

MSANII MANAIKI SANGA ALIYEPIGA PICHA ZA UCHI ATIWA MBARONI, ASKARI WAMKAMATA KIMAFIA HUENDA IKWA NDIO MWISHO WAKE

Jeshi la polisi kanda ya Dar es Salaam linadaiwa kumtia mbaroni msanii anaetuhumiwa kupiga picha chafu na wanawake mchanganyiko wakiwema mamiss maarufu na baadae kusambaza kwenye mitandao yote ya kijamii pamoja na kuripotiwa kwenye magazeti pendwa. 

Gazeti hili katika upekenyuaji wake limenasa picha hizi kwenye mtandao mmoja maarufu wa kijamii ukimuonesha Manaiki akiwa kwenye kibano kikali cha polisi huku akiwa amevishwa pingu na kurukishwa kichurachura. 
Habari za uhakika  zinasema kuwa msanii huyo aliyeshiriki kwenye filamu za Tikisa, Love Position, Last Coin na Sory my Soni alikamatwa siku chache baada kuvuja kwa picha zake za aibu zikimuonesha akiwa na wanawake tofauti tofauti. BOFYA HAPA KUISOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname