MADAM RITA KUMFUNGULIA KESI NEY WA MITEGO KUTOKANA NA NYIMBO YA SALAM ZAO
Baada ya Ney Wa Mitego
kutoa Track ya Salam Zao, Kuna tetesi Kuwa Muandaaji wa BSS Madam Rita
anampango kumfungulia Kesi ya Madai Ney wa Mitego kwa Kumchafua
(Defamation) kwani eti alisema Madam Rita huwa hatoi zawad anazoziahidi
kwa washindi wa shindano lake la kusaka Vipaji, Je Kama ni kweli kuhusu
Kesi hii Ney wa mitego ataweza kulipa milioni 500? Tayari msanii huyo
amesema yuko tayari kwenda mahakamani na ataweka mwanasheria wa
kumtetea.
No comments:
Post a Comment