Mwanadada Irene Uwoya anakuja na tv show ambayo itakuwa ni ya kipekee
ukilinganisha na tv show nyingine ambazo zimesha anzishwa hapa tz.
The show will be aired by clouds tv and the idea behind is general
cleanness of dirty houses in Tanzania. Show yake itakuwa inaonyesha
mwanzo nyumba ikiwa kwenye hali mbaya hadi atakapo ikamilisha kwa huo
ukarabati.
No comments:
Post a Comment