02 August 2013

MANGE KIMAMBI "NIKIJA BONGO LAZIMA NIVAE HELMENT YA KUZUIA TINDIKALI


 
 
"Duh Bongo pamechafuka aiseeee......

Nafuu yake ana pesa za kukodi private jet to SA within 1 hr ya kumwagiwa tindikali...

Maana angetibiwa bongo yawezekana ange poteza macho yake yote mawili......
Duh... Inatisha sana....

Hivi huyu aliemwagia alijuaje kuwa atamkuta outside his supermarket at that particular moment and at that particular supermarket?...Duh, i smell conspiracy ......
Aisee nikija bongo ntajiweka tindikali cover
Nilivyoona hii kitu kwa riri's instagram nkapata idea...

Yani lazma nipige hiki kitu nikiwa Bongo....nsije pofuliwa macho bure.....hehhhehe

Maana nimewauzi wauza sembe wengi alafu wauza sembe hawanaga huruma chief....lol..." Alisema Mange.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname