Oneza
aka Feza Kessy na O’neal leo wameandaliwa party ya nguvu jijini
Gaborone nchini Botswana iliyopewa jina, Oneza: O’neal Appreciation Gala
Dinner.

Party hiyo itafanyika kwenye hoteli ya kifahari ya Grand Palm jijini
humo. Jana Feza alitweet
kuonesha nia ya kutumbuiza kwenye sherehe hiyo.
“I might just perform on Thursday night! why not,” aliandika.
source bongo5
No comments:
Post a Comment