
Awali ya
yote ningependa kutanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu aliyeniwezesha
mimi na team yangu nzima ya wasafi kusafiri na kufika salama visiwani
Comoro,lakin pia siwezi acha kuwashukuru mashabiki wangu wa kweli kwa
dua wanazoendelea kuniombea..tulifika Comoro mapema jioni na kupokelewa
na umati wa watu waliokuwa an hamu ya kumwona mtoto wa kitanzania
nikitua nchini mwao hizi ni baadhi ya picha za matukio jinsi wana Comoro
walivyonipokea

Ukweli ni mara yangu ya kwanza kufika Comoro na nilifurahishwa na ukarimu wa watu hawa na jinsi



Baadaya kutoka Airport nilifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha nchini Comoro
No comments:
Post a Comment