- Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Willfred Lwakatare akitoa maelekezo kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi wa habari
- CHADEMA wanatakiwa kutufafanulia watanzania, hii ni mikakati yao au wanachafuliwa?
- Serikali na vyombo vya Usalama watuambie watanzania, kwanini watu hawa bado hawajachukuliwa hatua?
- Kama video hii ni fake, mhusika
(Lwakatare) anafahamu nani aliandaa video hii, awape ushirikiano polisi
kumtia nguvuni mwandaaji kwa uchochezi!
HII NDO VIDEO YENYEWE
Jionee na kusikiliza mwenyewe ukweli huu
kutoka kwenye hii video . Huyu anayeongea na kupanga mikakati ni
MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA WA CHADEMA WILLIFRED LWAKATARE akitoa
maelekezo
kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi
mwandamizi wa mwananchi ambaye ni threat kubwa kwa CHADEMA na ambaye ni
rafiki mkubwa wa Zitto.
Anatolea mfano wa matukio mengine
waliyoyatekeleza kama lile la kumwagiwa tindikali MUSSA TESHA huko
Igunga na kuuawa kwa kijana katika vurugu za CHADEMA na polisi huko
Morogoro ambapo tuliambiwa ameangukiwa na kitu chenye ncha kali..
CHANZO: JAMII FORUM