22 December 2012

Angalia..PICHA mapokezi ya Mh.LEMA ARUSHA YALIVYO FANA


Wafuasi wa Lema wakishangilia barabarani wakati Mbunge huyo akipita.

 Mbwembwe za waendesha pikipiki wengine ziliwashinda na kuanza kuanguaka.
 Furaha hiyo ilikuwa kwa kila aliye Mwanachadema
 Skafu na vitru mbalimbali vilivyo na alama ya CHadema viliuzwa jijini Arusha kwa wingi.
 Mke wa Mbunge Godbless Lema akiwa kwenye gari pamoja na mtoto wao wakati wa mapokezi hayo.
 Lema Arusha anafananishwa na Barack Obama

 Watu walining'inia katika magari bila hofu

 Huyu na e'eti' alikua anachukua kumbukumbu za Video....
Lema akiwa na Mbunge wa Arumeru Mashuari CHADEMA, Joshua Nasari.
MAPOKEZI ya Kihistoria katika jiji la Arusha yamefanyika leo wakati wafuasi,   Mbunge wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema walipo miminika kwa Wingi kuanzia
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) hadi katika Viwanja vya Kilombero mjini hapa alipohutumia maelfu ya wana CHADEMA Arusha Mjini.

Mapokezi hayo yamefanyika wakati Godbless Lema alipokuwa akirejea mjini Arusha akitokea jijini Dar es Salaam kusikiliza hukumu ya Rufani ya Keshi yake ya Kuvuliwa Ubunge iliyotolewa maamuzi ya kumrtejeshea Ubunge wake Desemba 21,2012.


Maelfu ya wananchi wakiwa katika msafara mrefu zaidi ya pikipiki 500 na magari ulianzia Uwanja wa Ndege KIA mara baada ya Mbunge huyo kuwasili uwanjanai hapo majira ya saa 4:20 Asubuhi

Comments system

Disqus Shortname