27 December 2012

ANGALIA PICHA na VIDEO...SHOW YA BARNABAS NA SUMA LEE ILIVYOFANA LONDON



Barnaba akiimba kwa hisia.
Hakunaga kama Suma Lee 
 
Suma Lee akifanya vitu vyake.


Barnaba akiwadatisha mashabiki na Magume gume. 
Kassu Ent iliandaa tamasha maalum kutoka kwa wasanii wetu wa kizazi kipya
iliowajumuisha Barbaba na Suma Lee. Tamasha hili lilikwenda sambamba kwa kusherekea miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika siku ya jumamosi tarehe 22.12.12 jijini London katika ukumbi wa Stratford.

Mgeni rasmi alikua naibu Balozi Chabaka Kilumanga alieambatana na mkewe Irene Kilumanga. 
Aidha Mh Balozi Kilumanga aliwapongeza watanzania walioweza kuja kujumuika na kusherekea pamoja katika siku hii na kuwasihi kuendeleza mshikamano kwa kuishi pamoja kwa amani na upendo.
PICHA NA VIDEO KWA HISANI ya Urban Pulse Creative

Comments system

Disqus Shortname