22 October 2012

Angalia ..PICHA .Msanii LULU AKITOKA MAHAKAMANI LEO

Elizabeth Michael a.k.a LULU, (Katikati), akielekea kupanda basi la magereza kwenye viwanja vya Mahakama ya Hakimu Kkazi Kisutu, baada ya kesi inayomkabili ya kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake, Hayati Steven Kanumba, kuahirishwa

LULU akielekea kupanda gari tayari kwa safari ya Segerea



Comments system

Disqus Shortname