Rayuu amedai kuwa
hajui lolote kwani picha hizo zipo kwenye simu yake iliyopotea na hajua
ni nani anayezisambaza ingawa aanaamini kuwa anayefanya hivyo ana
nia
mbaya ya kumchafua. Msanii huyo anafanya vizuri kwenye tasnia ya filamu
ni msanii ambaye hajawahi kukumbwa na matukio kama haya awali.“Jamani mimi sieliwi hizo picha zinatoka kwa nani, najua ndiyo kwenye simu yangu nilikuwa na picha hizo na baada ya kupotea sijui nani anayefanya upuuzi huo, nilipiga hizo picha kwa upendo wangu lakini sikuwa na maana zitoke na kusambaa mitandaoni,” alisema kwa hasira