John B & Dee Cee with The Girs
Dee Cee
DX
Hizi ni baadhi ya Screenshots za video mpya kabisa ya wasanii Dee Cee na
Slim Deezy wakiwa wamemshirikisha Banx,video imefanyika na Nisher
Entertainment huku audio ikiwa imeandaliwa na O'donis,na kufanyiwa
recording na DX na John B na pia final touches zikiwa zimefanywa na John
B, Today ni wimbo utakaotambulisha project ya pamoja ya Dee Cee na Slim
Deezy itakayoitwa Dislimination,''Tunataka kuonesha watu upande tofauti
wa Arusha alisema Dee Cee,tuna mengi sana kwaajili ya massive nzima ya
Tanzania asema Slim Deezy,,watu wakae mkao tu,ahsanteni