26 September 2012

TAARIFA KWA UMMA JUU YA UHALALI WA MAUZO YA VOCHA YA TSH 450 TOKA VODACOM

Tumekuwa na taarifa na tumewasikia kuhusu mauzo ya vocha ya Tsh450 kuuzwa kwa Tsh500. Vocha hizi za Tsh450 zimetolewa katika soko ili kuwawezesha wateja wetu kuwa na mawasiliano ya urahisi zaidi. Bei halali ya vocha hii ni Tsh450 kama ilivyo andikwa na tunamuhimiza mteja alipe
bei iliyo tangazwa.
Tunashukuru kwa maoni yenu juu ya hili swala na tunapenda kuwa taarifu kuwa tunafatilia kwa undani zaidi na wauzaji wa vocha hizi kuhakikisha tunakuwa sahihi katika kutoa huduma hii kwa wateja wetu.
Tafadhali kuwa wazi kwa kutaarifu kwa swala lolote kuhusiana na vocha hizi za Tsh450 kupitia kurasa yetu ya facebook na Twitter.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname