hapa akiwa hospitali
Mkongwe wa muziki wa mwambao hapa nchini Bi. Kidude anaumwa na amelazwa katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam akipatiwa matibabu wodi namba 202 kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa kisukari na matatizo ya mapafu kwa ajili ya moshi wa sigara.

Tukizungumza
na mmoja wa wanafamilia anayemuuguza leo hii Bi, Zainab Hussein amesema
leo ni siku ya tatu tangu kulazwa kwa Bibi huyo na kwa jinsi
tulivyomuona sisi hali yake inaendelea vizuri.
Hata hivyo hatukuweza kupata picha yake nzuri kutokana na msimamo wa familia ambao wamekataza mahojiano na kumpiga picha.
Kwa hisani ya Mo Blog
No comments:
Post a Comment