11 September 2012

Breaking Newzzz...WAZIRI NCHIMBI ATIMULIA na WAANDISHI wa HABARI wa MKOA WA DAR ES SALAAM

Breaking Newzzz...WAZIRI NCHIMBI ATIMULIA na WAANDISHI wa HABARI wa MKOA WA DAR ES SALAAM WAKATI AKITAKA KUYAPOKEA MAANDAMANO HAYO.waziri huyo mwenye dhamana ya wizara ya mambo ya ndani alifika ghafla kwenye viwanja vya jangwani bila ya taarifa yoyote akiwaeleza anataka kuyapokea maandamano hayo ndipo waandamanaji wakaanza kumpigia kelele za kutaka aondoke kwani hajaalikwa hapo na yeye ndo bosi wa maaskari.Hatimaye alipanda gari lake nakuondoka baada ya kutimuliwa.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname