Jina la Father Nelly litaendelea kukumbukwa daima nchini
na wapenzi wa Hip Hop ya Tanzania. Kama ulikuwa hujui ni kwamba ngoma yake ya ‘Nini
Dhambi’ ndiyo inayoheshimika zaidi na watu wasiojua Kiswahili duniani wakiwemo
wamarekani!
Licha ya raia wengi duniani walioingalia video hiyo kupitia Youtube
na kushindwa kuelewa alikuwa anaimba nini, hiyo ndiyo ngoma ya
hip hop ya Kiswahili kutoka nchini Tanzania iliyopewa heshima zaidi kuliko zote unazozifahamu! Comments hizi zinaongea yote. Hakuna video ya Tanzania yenye comments nyingi za watu wa mataifa mengine kama hii.
hip hop ya Kiswahili kutoka nchini Tanzania iliyopewa heshima zaidi kuliko zote unazozifahamu! Comments hizi zinaongea yote. Hakuna video ya Tanzania yenye comments nyingi za watu wa mataifa mengine kama hii.
1.‘Great song, great lyrics. this is hip hop. Simple
but powerful
Love from Greece!’
2. Respect and r.i.p to this great poet. I’m novv from
the us’
3. This beat is bad ass.. great song, just wish i knew
what he was saying!
4. I feel ya pain my nigga!
5. I actually like this even though I don't understand
the language I'd rather listen to this than the so called RAPPERS we have in
the US
6. I didn't know he was murdered. I am crying.
7. This song always leaves me speechless.
8. Wow this is really good! compare the content of this
song with some of the other rappers like Lil Wayne and T.I
9. Is there an instrumental version of this on the
internet? If yes, where can I find it? It's epic!
Respect from Norway
10. So nice & lovely..It brings back a lot of
memories
real rap real talk no bitches no money no cars this is
all about this is REAL RAP.BIG RESPECT FROM USA AND ALBANIA
No comments:
Post a Comment