Mwanasoka
wa Nigeria ambaye alikuwa akicheza soka la kulipwa nchini Romania Henry
Chinonso amefariki dunia jana akiwa uwanjani na timu yake ya Cs Delta
wakati ilipokuwa
ikipambana na timu ya Fc Balotesti zote za huko nchini Romani. Kwenye mechi hiyo Henry alicheza kwa muda wa dakika 15 na baada ya hapo alianguka mechi ikiwa inaendelea huku akiwa mwenyewe bila ya kuguswa hata na mtu ambapo baadaye alikimbizwa
hospitali na kutangazwa kuwa amefariki dunia, Henry
alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu na ndio chanzo
cha kifo chake kwa kujibu wa madaktari alikofia Henry.ikipambana na timu ya Fc Balotesti zote za huko nchini Romani. Kwenye mechi hiyo Henry alicheza kwa muda wa dakika 15 na baada ya hapo alianguka mechi ikiwa inaendelea huku akiwa mwenyewe bila ya kuguswa hata na mtu ambapo baadaye alikimbizwa
CHANZO -KIZO
No comments:
Post a Comment