2.KUPIKA NI MUHIMU: Kujua
kupika kunakuongezea mvuto kwa yule umpendae.. restaurants, takeaways
and dinner out everyday? hakuna kitu kama hicho.... mfanye mpenzi wako
atamani kurudi nyumbani mapema kwakuwa chakula unachopika girlfriend
wake ni kitamu kuliko chakula kingine chochote.
3. Workout:Hakuna
mwanaume anapenda mwanamke mzembe... jitahidi kufanya mazoezi na
kuhakikisha mwili wako uko katika standard.. sio wote mnauwezo wa
kuingia Gym lakini jitahidi hata kukimbia kidogo uamkapo asubuhi ili
kuufanya mwili wako kuwa sharp.
4.SWALA LA UENDESHAJI GARI; WANAUME HATUPENDI KUKOSOLEWA... HILI LINANIKERA MIMI BINAFSI SANA TU....
5. Dont smoke:
huwa mnajidanganya kuwa ukivuta sigara utaonekana sexy na mwenye
mvuto.... unajidanganya.. utaishia kuwa katika mahusiano na masharobaro
na hutaweza kupata mwanaume wa maana.. wanaume tu kuvuta sigara
wanajikaza... iweje wewe mwanamke uvute??
6. KUWA WAZI NA HISIA ZAKO:
Namaanisha kuwa unapokuwa unahamu na mwenzi wako.. mweleze usiwe mtumwa
wa mapenzi kwakuwa wewe ni mwanamke.. mbona Yeye anakueleza pale
anapokuwa na hamu na wewe? kwanini wewe usimweleze?? unapokuwa na hamu
na mzee mueleze
7. SHORTCUTS: Simaanishi
njia ya kukatisha ila majibu ya shortcut kama "WHATEVER","Fine",
"cool" and "As u Wish" hakuna mwanaume anapenda majibu kama hayo.. if u
love that man why umpe majibu ya shortcut??
SOURCE-MPEKUZI
No comments:
Post a Comment