28 July 2012

Breaking Newzz>>> TRENI IMEGONGWA NA MTU MOROGORO NA KUSABABISHA HUYO MTU KUPOTEZA MAISHA


Hapo ni sehemu ambayo wanashanga hao vijana watatu , ni sehemu ambayo alikuwa amesimama marehemu akiwa anajaribu kusimamisha treni.(mjini morogoro maeneo ya kilima hewa)

SAMAHANI KWA PICHA HII. Huyu ni Marehemu ambaye jina lake alijajulikana hadi naondoka, kwani alikuwa anahitaji kusimamisha treni, Ila habari zinazidi kusema kuwa alikuwa na mapungufu ya akili.
Hapo ni sehemu ambayo alikuwa anaishi marehemu, ambaye anamapungufu ya akili. Ata hivo sehemu hiyo inamilikiwa na Mamlaka ya Treni ambacho kwa wakati ya zamani kilikuwa kinatumika kwa mlizi wa kusimamisha magari.

 Mmoja wa Shuhuda Bw Omari akitoa maelezo kwa askari polisi wa barabarani.
Picha kwa Hisani ya Bongo Flava Link Blog 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname