Breaking Newzzzz......Kiongozi wa MADAKITARI (Dr. ULIMBOKA) AVAMIWA NA KUUMIZWA VIBAYA
Breaking Newzzzz...Kiongozi wa MADAKITARI (Dr. ULIMBOKA) AVAMIWA NA KUUMIZWA VIBAYA.DR Ulimboka alivamiwa nyumbani kwake na kisha kuumizwa vibaya na watu wasio julikana kwa taarifa zaidi zitawajia mda si mrefuuu
Kitendo alichofanyiwa Dr Ulimboka ni Kibaya mbele ya Mungu na Mbele ya sisi wanadamu. Kama kulikuwa na kosa katika u-wanaharakati wake, haikubidi kuadhibiwa kiwango hiki.
Kitendo alichofanyiwa Dr Ulimboka ni Kibaya mbele ya Mungu na Mbele ya sisi wanadamu. Kama kulikuwa na kosa katika u-wanaharakati wake, haikubidi kuadhibiwa kiwango hiki.
ReplyDelete