02 February 2012

BREAKING Newzzz WANAFUNZI SABA WAFARIKI KATIKA MAHAFALI YA SHULE YA SEKONDARI YA KOROGWE GIRLS BAADA YA KUGONGWA NA GARI

Vifo hivyo vimetokea baada ya mwanafunzi aitwaye KIBIBI MMASA kuingia ndani ya gari  la kaka yake lenye namba T489 AGJ na kuanza kulichezea,wakati akiwa ndani ya gari mara akaweka gia ya kurudi nyuma na kuanza kurudi nyuma kwa kasi ya  120 km kwa saa  na kuwaparamia wanafunzi waliokuwa katika kusherekea mahafali hayo na kusababisha vifo hivyo.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname