Showing posts with label SINTA. Show all posts
Showing posts with label SINTA. Show all posts

02 August 2013

SINTAH "SISI MASTAA WENYE MASTERS DEGREE HATUWEZI PIGIZANA KELELE NA MASHOROKO MEGENI


Sintah leo kaja na haya : jisomee mwenyewe

"Ukifungua gazeti la babkubwa toleo jipya ,kurasa ya katikati shurti utakutana na kichwa cha habari MASTAA Ambao shule imelala kichwani, seriously kuna siku mdau alinitumia comment maana mimi na magazeti ni hasi na chanya, 
kilichoandikwa ni ukweli mutupu jamani khaaa sasa mtu mwenye MA apigizane kelele na mashoroko mageni aaaah wapiii??

20 July 2013

BAADA YA MANGE KUMUANDIKA SINTAH-SINTAH NAE JANA KAJIBU HAYA HAPA CHINI

IJUMAA YA MAJANGA


"Hellow Wadauzii 

Naombeni niwaambie binafsi mimi nipo pouwa kabisa, na sijachukua mkopo popote na huyo aliosema nimechukua mkopo naomba atoe hizo documents ili nyie wawadau wetu mjue kama ni kweli ama sikweli , mengine me naona ni kawaida binaadamu anaongea yake

04 May 2013

Sinta Amrudia Mage Kinambi Sasa Hii Ndio Kali Mazee!!

 
Naomba msinitumie comment lenye jina la Mangi sina pse
ndo maana mnaona nina bana comments si bani ila sitaki kutibu vichaa waliotoka milembe wasiojijua

imagine mtu asiye na mama wala baba wala ndugu anitukane? yeye anaharibikiwa ama mimi???


haaaaa sitomjibu muache ajaze kurasa ktk blog sina habari wala muda wa kujibu sijuwi sina mdhamini nyie wenyewe mnaona hapo chini na swala la my mum

30 March 2013

HUU ndo UGOMVI MKUBWA KATI ya SINTAH na MANGE KIMAMBI,JIONEE MWENYEWE MAMBO YALIVYO

SINTAH
 MANGE
 MANGE AKAANDIKA HAYA........
I THINK WENGI WETU TULIAMUA KUMU IGNORE TU HUYU MBWA KOKO......KAMA MIMI NDO KABISAAAAA YANI NILIKUWA NISHASEMA NGOJA NIFANYE KAMA HAYUPO HAI...... JAMANI
KILA SIKU LAZIMA ANITUKANE KWENYE COMMENTS ZAKE? NILIM CONTACT KISTAARABU NIKAMWAMBIA SINTA ACHANA NA MIMI, SIKUJUI TUHESHIMIANE, ILA WAPI JITU HALIELEWI.

SIJUI BLOG YAKE HAINOGI BILA KUMTAJA MANGE KIMAMBI. ALAFU

08 January 2013

SINTAH AMESEMA........KUVAA KHANGA MSIBANI ni USHAMBA KWA WANAWAKE ,ASEMA WAVAE KAMA YEYE ALIVYO VAA MSIBA WA SAJUKI. Angalia PICHA ALIVYO VAA

 YE ANATAKA WANAWAKE WAVAE HIVI KAMA YEYE ALIVYO VAA

 

HIVI NDIVYO  ALIVYO  ANDIKA KATIKA  TOVUTI YAKE KUHUSU WANAWAKE KUVAA KHANGA KWENYE  MISIBA,



09 October 2012

RAIA WAMJIA JUU SINTA...WASEMA ANAMUOGOPA WEMA SEPETU ANAWASEMA WENGINE.SOMA WALIVYO ANDIKA.

WANANCHI WAMEMJIA JUU SINTA BAADA YA KUONA ANAANIKA MAOVU YA BAADHI YA  WASANII NA KUWAACHA WENGINE WAKIDHANI KUWA ANAWAOGOPA.

HAYA NI BAADHI YA MAONI YALIYOTOLEWA KATIKA TOVUTI YAKE

02 October 2012

MATUSI ya SINTAH KWA WANAOTUMIA FACEBOOK .

 
SINTAH au Jlo  wa bongo amewadharau watu wanaotumia mtandao wa faceboo kwa kusema maneno yafwatayo katika website yake.
"facebook imebaki watoto wa o’level, mabeki tatu na wacheza mdako. groove yaself to the matured level of social media"

26 September 2012

Alichoandika Sinta Kwenye Website Yake

Soma Alichoandika Hapo chini: "Stopppppp kuniandikia pumba huku kuhusu mtu mwenye govinda kaandia fb  hayanihusu

i dont deal with people who have un-sustainable career uwiiii the whole of me the lope lope of all trades haaaaa,

 usisihindane na mimi maana i have got three career hata kama sifanyi moja ninakula je yeye mwenzangu mguu ukivunjika kuna kitu tena???

MA  International relations and Diplomacy as well as queen wa entertainment industry sasa kazi kwako wewe kinuka mkojo


usitukane mamba na bado unapiga simu post itolewe hapa hakitoki kitu ulianza  na mimi namaliza" Sinta

Comments system

Disqus Shortname