Showing posts with label ROSE NDAUKA. Show all posts
Showing posts with label ROSE NDAUKA. Show all posts

12 August 2013

HAYA NDO MAJIBU YA UKIMWI KUTOKA KWA ROSE NDAUKA

Mwanadada Rose Ndauka ambaye hivi karibuni aliingia katika skendo ya kimapenzi na Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayechipukia, ameamua kuwa mmoja wa wasanii wachache wa Sanaa ya Filamu nchini kuamua kuanika wazi majibu ya vipimo

02 August 2013

BAADA YA ROSE NDAUKA KUHUSISHWA KATIKA FUMANIZI...!! HAYA NDIYO MANENO YA MCHUMBA WAKE ROSE KUHUSU SAKATA HILO

 
BAADA ya msanii wa filamu nchini Rose Ndauka kuripotiwa kufumaniwa akiingia gesti na msanii chipukizi wa muziki wa bongo fleva Nassoro Ayoub 'Dogo Nasry' huku akiwa amevaa baibui kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani,  mumewake

Comments system

Disqus Shortname