Wahariri wa Gazeti la Mawio wakijisalimisha makao makuu ya
Polisi jijini Dar es Salaam leo mara baada ya Jeshi la Polisi kutangaza
kuwatafuta popote pale kwaajili ya kutoa maelezo kwa kuandika habari ya
upotoshaji kwa jamii, wakiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Abalom
Kibanda katika makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam.
Wahariri wa gazeti la Mawio wakizungumza leo walipokuwa
wanajisalimisha makao makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Abalom Kibanda
akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya Jeshi la Polisi
leo jijini Dar es Salaam kuhusiana na kufungiwa na Serikali gazeti la
Mawio jana.
No comments:
Post a Comment