05 January 2016

RAIS MAGUFULI AMESHAIPOTEZEA NCHI MAPATO YA BILIONI 8 TANGU AINGIE MADARAKANI,ASEMA ZITTO KABWE


Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe ameilalamikia serikali ya Magufuli kwa kitendo chake cha kukaa kimya kuhusu ufisadi unaoendelea kufanywa na Harbinder Singh Seth, mmiliki wa IPTL, ambaye huvuna kiasi cha malipo ya bilioni 4 kila mwezi kama malipo ya kuliuzia umeme shirika la ugavi wa umeme nchini, Tanesco.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname