05 January 2016

MAFISADI HALI TETE,WABANWA KILA KONA,WAHAHA USIKU NA MCHANA KUJINASUA NA KASI YA MAGUFULI


Katika kile kinachoonekana kuwa ni mwendelezo wa vita dhidi ya vitendo vya kifisadi, Rais John Magufuli ameibua mbinu mpya ya kuwalazimisha watumishi wote wa nafasi za juu kwenye ofisi za umma kusaini kiapo maalum cha uadilifu chenye masharti 13 ambayo yakitekelezwa vyema yataziba mianya yote ya ubadhirifu wa fedha za umma.  


BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname