Inchini Eritrea serikali imewambia wanaume wa inchi hiyo kwamba
wajitahidi waoe wake zaidi ya mmoja,atakaekaidi atafungwa jela,vile
Vile mwanamke atakaemkataza mmewe kuwa na mitala ni jela,eti hii
imetokana na inchi hiyo kuwa na wanaume wwchache,wengi walipoteza maisha
wakati wa vita dhidi ya Ethiopia, hii sasa ni hatari
No comments:
Post a Comment