04 January 2016

IKULU YAMSHANGAA MFUASI LOWASSA,WAMJIBU MAZITO

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema ameshangazwa na kauli ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga kuwa wingi wa makatibu wakuu unakinzana na dhana ya kupunguza ukubwa wa Serikali alioahidi Rais John Magufuli.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname