27 January 2016

HABARI ZAIDI ZA YULE MDADA ALIYEKUTWA MSUKULE NDANI YA SHIMO

Story bado inaendelea na huu ndio Ukweli...chukua muda wako wakutosha kusikiliza story hii..ili muujue UkWeli sio kuzushazusha mambo..
Read article about Zile Picha za Mwanamke Aliyekutwa Shimoni Hakuwa Msukule, Ndugu Wamesimulia..

D Salma Issa
D Salma Issa kwann unadai kuwa yule mwanamke sio msukule itabid nawe uchunguzwe kwann udai kuwa sio msukule
Like · Reply · 1 · 4 hrs
Juliana Charles
Juliana Charles Ok kaka story ikoje? Maana kila mtu anaongea yake....
Like · Reply · 1 · 4 hrs
Ibrahim Abbul
Ibrahim Abbul D Salma Issa..Mimi niliipost kama nilivyo ikuta huko..kwahiyo kadri mwendelezo Wa hii story ilipofikia Huyo Dada anaedaiwa kuwa nimsukule kumbe sio,,,,,nataarifa zilizopatikana Leo huyo Dada ameshapatina na yupo mikononi mwandugu zake...kwahiyo nijambo lakumshukuru Mungu..sana..ila lawama ziende kwa jeshi lapolisi kumtoa uchi wamnyama Dada wawatu toka pale shimoni mpaka kituo chapolisi nakusema kwamba alitoweka.....
Ibrahim Abbul
Ibrahim Abbul Juliana Charles...kama ungesikiliza kipindi cha Leo Tena..cha claudz FM..Geah Habib..alikuwa anazungumza na mama na Dada take na mhusika...maana baadhi yandugu walikuwa wanamtuhumu mama yake mzazi ati kuwa yeye anahusika....kumbe UkWeli wamambo sio...yeye mwenyewe huko nyuma alishawahi kuumwa ugonjwa Wa akili...upon..@juliana !!!...na amesha patikana story yote kesho nitaiweka Hapa..kila kitu kitakuwa wazi..
Juliana Charles
Juliana Charles Sipo tz kaka İbrahim nipo botswana ila nafatilia hii story kutoka kwako na watu wengine, so bro natamani kujua ukweli maana kila mtu anaongea yake
Like · Reply · 1 · 2 hrs
Ibrahim Abbul
Ibrahim Abbul Asante..Juliana Charles..Mimi mwenyewe sipo huko nyumbani Tanzania,nipo Blantyre Malawi......so..hivi tunavyoongea ameshapatikana na amepatikana huko Tabata Liwiti...nanguo amesha vaa ...mfollow Geahabib kwenye instagram sasa hivi amepost mpaka picha yake ...saws Dada Yangu........now@insta...

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname