16 December 2015

WEMA SEPETU ADATA NA WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATINUMS

Ameachana na Diamond lakini Wema Sepetu bado ni shabiki mkubwa wa nyimbo za ex wako huyo.
Malkia huyo wa filamu, amedhihirisha kuwa hana kinyongo na Diamond baada ya kuonekana akiimba wimbo mpya wa msanii huyo, Utanipenda! 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname