Na Sakina Shabani
Ile
filamu iliyozungmziwa sana ya msanii Manaiki Sanga "The Don" hatimae
imeruhusiwa kusambazwa na mtaani huku maelfu ya wananchi wakitarajia
kuitizamana.
Habari
za uhakika zilizonaswa na mtandao huu wa
Xdeejayz imesema kuwa filamu
hiyo iitwayo NGEMA imeruhusiwa na baraza la sanaa la Taifa BASATA na
kesho tarehe" 23/12/2013 itakuwa mtaani
No comments:
Post a Comment