16 December 2015

VIDEO; WAKENYA WAZIDISHA MAHABA KWA MAGUFULI...WAANDAMANA WAMTAKA AENDE KENYA KUTUMBUA MAJIPU,ONA HAPA LIVEE


KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida,jana raia wa Kenya katika jiji la Nairobi waliandamana kupinga hali ya kukithiri kwa rushwa katika taifa hilo huku wakipaza sauti ya kumtaka Rais wa Tanzania Dr John Magufuli kuingilia kati suala hilo hata kama yeye sio Rais wa Taifa hilo.

Katika maandamano hayo,Wakenya hao waliimba wimbo wa kuchoswa na kitendo cha rushwa ambacho kimekithiri katika maeneo mengi nchini humo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname