27 December 2015

WALIOSAFIRI NJE YA NCHI BILA KIBALI CHA RAIS WAKALIA KUTI KAVU,MOTO WAWAKA KILA WIZARA,WAHAHA KUPOTEZA MAJINA


Adhabu inawanyemelea watumishi wa serikali waliokaidi agizo la kutosafiri nje ya nchi bila kibali cha Rais John Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Habari zilizopatikana kutoka baadhi ya wizara zilieleza jana kuwa tayari baadhi ya Makatibu Wakuu wa Wizara wameshapewa orodha ya majina ya watumishi  


BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname